Natafuta mawe yanayong'aa kama Kioo (quartz)

Natafuta mawe yanayong'aa kama Kioo (quartz)

Habari Wapendwa, Kama Kichwa Kisemavyo natafuta Mawe ya (quartz) Yasiwe Meusi au Uchafu wowote ndani yake, Yang'ae kabisa (Pure Stone). Yawe kuanzia Manne. kama unayo ni pm nipo dar
Vipi. bado unahitaji quartz
 
Na haya meusi natafuta kiasi chochote ata kama mlima mzima
IMG-20240430-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom