Natafuta mayai ya kuku wa kisasa

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
375
Wanajamvi natafuta mayai ya kuku wa kisasa kwa ajili ya kuuza maana nina fremu yangu ya mayai lakini mzigo napata kwa kusuasua....Mwenye nayo naomba anipe bei nzuri na uwezo wake kunisupply atleast tray 20 kwa siku....Napatikana Dar....Asanteni sana
 
Naomba tuwasiliane kwa namba 0718151415 me nina sehemu za uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…