juniour12
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 407
- 375
Wanajamvi natafuta mayai ya kuku wa kisasa kwa ajili ya kuuza maana nina fremu yangu ya mayai lakini mzigo napata kwa kusuasua....Mwenye nayo naomba anipe bei nzuri na uwezo wake kunisupply atleast tray 20 kwa siku....Napatikana Dar....Asanteni sana