Tafadhali mshtue huyo Chasha mwambie kuna deal huku! Hata mimi nayahitaji! Nimeyatafuta kwa muda mrefu bila mafanikio! Ahsante!Mtafute chasha huku, anaweza kukusaidia.
Hauzi kwa sasa mkuuMtafute chasha huku, anaweza kukusaidia.
Yameadimika kweli siku hizi haya mayai tokea biashara zile za upepo ipite.Tafadhali mshtue huyo Chasha mwambie kuna deal huku! Hata mimi nayahitaji! Nimeyatafuta kwa muda mrefu bila mafanikio! Ahsante!