Natafuta Mbegu / Miche ya Mananasi

Natafuta Mbegu / Miche ya Mananasi

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,039
Reaction score
4,889
Niko Dar nataka kupanda nanasi kwenye kiwanja changu. Kina ukubwa wa nusu eka kiko kongowe.

Naomba kujuzwa aina ya minanasi inayofaa eneo hilo na wapi nitapata mbegu/miche yake
 
Nenda bagamoyo, kiwangwa utapata mbegu nzuri ya mañana si mkuu
 
mkuu kuna njoo banana kama unaelekea magereza sehemu ya Aviation house kuna jamaa wanauza miche ya miti na maua .pia wanauza miche ya minanasi .bei zao zuri sana mkuu jaribu kuwaona mkuu
 
Njopekafarm tunauza miche ya minanasi tupo mkuranga pwani pia tuna andaa shamba kwa ajili ya kupanda na kukupandia kabisa lakini pia tunakupa muongozo wa kulihudumia shamba la mananasi mpaka uvune piga simu au whatsapp +255625977427
 
Back
Top Bottom