Natafuta mbegu za STEVIA

Natafuta mbegu za STEVIA

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
750
Reaction score
151
Wanajamii naomba,kama kuna mwenye kuelewa au mwenye mbegu za STEVIA tuwasiliane nazitafuta sana na nimeshindwa kuzipata
 
jje unalo soko .... au unaweza kuifanyia process Stevia ikawa industrial sweetener

Fact ; Stevia is 100 x times sweeter than sugar .... Most of soft and carbonated drinks their sugar content is derived from Stevia
 
Soko lipo nd sio shida, shida ni upatikanaji wa mbegu, ili mradi uanze
 
stevia inachonikera mimi ni ile radha ya mwisho kama ukakasi flani hivi! ukiweza kuilima na kuimarket vizuri unapata soko, hasa kwa watu wenye kisukari.
 
Ni nini hii stevia?

stevia ni mmea tu mkuu, majani yake ni matamu sana, matamu kuzidi muwa, locally watu huyasaga na kutia kwenye chai na vinywaji vingine badala ya sukari.
 
A 2009 review study found that stevioside and related compounds may have anti-hyperglycemic, anti-hypertensive, anti-inflammatory, anti-tumor, anti-diarrheal, diuretic, and immunomodulatory actions. A 2011 review found that the use of stevia sweeteners as replacements for sugar would likely benefit diabetic patients. Furthermore, the report noted "stevioside has shown some evidence of pharmacological effects in patients with hypertension or with diabetes mellitus type 2," but concluded further study was required to determine proper dosage.
 
Ahsante nimeshaisoma,sukari yake ni nyeupe hivi nadhani inatumika viwandani,
Stevia is a sweetener and sugar substitute made from the leaves of the plant species Stevia rebaudiana
 
Back
Top Bottom