Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Elezea kwa undani sasa, uwekezaji ulioufanya hadi sasa ni upi? Umeshaweka miundombinu ipi kwa mfano, umesha process vibali vipi, umeshajenga majengo yapi, etc. Pia, weka na picha za kutosha mkuu ili mtu mwenye pesa avutike aone ni kitu serious akufuate PM. Hapo unazungumzia uwekezaji wa pesa nyingi, haitakiwi kuwa blah blah.[emoji3][emoji1][emoji3] Karibu tuzungumze, japo nishaanza sehemu ya uwekezaji, Sina maana kwamba mtaji wote 100% utoke kwa mbia.