Elezea kwa undani sasa, uwekezaji ulioufanya hadi sasa ni upi? Umeshaweka miundombinu ipi kwa mfano, umesha process vibali vipi, umeshajenga majengo yapi, etc. Pia, weka na picha za kutosha mkuu ili mtu mwenye pesa avutike aone ni kitu serious akufuate PM. Hapo unazungumzia uwekezaji wa pesa nyingi, haitakiwi kuwa blah blah.