Natafuta mbia wa kuwekeza naye kwenye kilimo

Natafuta mbia wa kuwekeza naye kwenye kilimo

Michael Bosco

Member
Joined
Jan 10, 2010
Posts
86
Reaction score
47
Habari zenu!
Niende kwenye mada nilikuwa natafuta mbia wa kuweza kuingia naye makubaliano na kuwekeza kwa pamoja kwenye kilimo hasa cha mboga mboga kwani ndicho chenye faida kwa sasa Tanzania. Mimi na baadhi ya vitendea Kazi kama pampu pamoja na utalaamu wenyewe wa kilimo. Chamngoto kubwa iliyopo ni mtaji wa kuweza kuwekeza kwenye kilimo hasa fedha. Kwa yoyote mwenye uhitaji na malengo kama yangu tuje tusaidiane kujikomboa na umaskini.

Naomba kuwasilisha pia karibu inbox kwa aliye tayari
 
Elezea vizuf basi mkuu ,wew unacho nini na nini ili uyo mwenye mtaj ajue anaanzia wap?

Na eneo umeplan wap? Na wew upo wap
 
Mimi nina mtaji natafuta mbia tuwekeze pamoja mim Niko Darb
 
Back
Top Bottom