LOTTI masai
Member
- Aug 28, 2014
- 40
- 9
Nahitaji mbolea ya kuku gunia 10 kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia kunipa conection na wafugaji wa kuku au wanaouza hiyo mbolea
Mkuu sioni ukijibu nilikuinbox kujua bei yako lakn naona kimya mkuuKama upo ukonga Mombasa niPM, ipo ya kumwaga on weekly basis.
Mkuu sioni ukijibu nilikuinbox kujua bei yako lakn naona kimya mkuu