Natafuta mbolea ya kuku

Natafuta mbolea ya kuku

LOTTI masai

Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
40
Reaction score
9
Nahitaji mbolea ya kuku gunia 10 kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia kunipa conection na wafugaji wa kuku au wanaouza hiyo mbolea
 
Nahitaji mbolea ya kuku gunia 10 kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia kunipa conection na wafugaji wa kuku au wanaouza hiyo mbolea

Ninayo nyingi. mimi ni mfugaji. nipo dsm mbezi beach. kama upo karibu na maeneo hayo nijulishe
 
Kama upo ukonga Mombasa niPM, ipo ya kumwaga on weekly basis.
 
Nashukuru wakuu kwa concern yenu me npo chanika ndipo lilipo eneo nalotaka kutumia mbolea nahisi huyu bwan wa mombasa anaweza kua jirani angalau.Nime kuinbox mkuu
 
Back
Top Bottom