Ngararimu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 288
- 500
Wanajukwaa nisaidieni naishi Dar. Kwa sasa vibaka wamekuwa wengi kutokana na hali ya upatikanaji wa fedha kuwa mgumu hivyo wamekuwa wakiingia home kubahatisha watakachoweza kuchukua mara kwa mara.
Naomba mwenye mbwa (puppy) ambao nitawakuza mwenyewe aniuzie.
Naomba mwenye mbwa (puppy) ambao nitawakuza mwenyewe aniuzie.