Ndugu zangu natafta mchele grade A ule usio na mawe wala usiovunjika kwa bei ya jumla, mwenye nao plz anipm, pia nahitaji kuku na mayai kwa bei ya jumla, mbarikiwe
Nataka mchele kilo elfu moja, na kuhusu mayai na kuku nataka wa kizungu, kuna tenda nazifukuzia kwenye hotel, ni pm wenye kuku na mayai nijue tunafanyaje biashara, asante
HELLO, ni siku nyingi since utume post yako am kind interested kufanya biashara na wewe ya kuku na mayai.. if possible unaweza nichek kwa namba hii 0713441697