Natafuta mchele, kuku, mayai

Natafuta mchele, kuku, mayai

mary2014

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
11
Reaction score
3
Ndugu zangu natafta mchele grade A ule usio na mawe wala usiovunjika kwa bei ya jumla, mwenye nao plz anipm, pia nahitaji kuku na mayai kwa bei ya jumla, mbarikiwe
 
habari, unahitaji kiasi gani? Kyela type vp?
 
kuku aina gani? Kiasi gani na uko wapi? Utawafuata? Mayai pia kiasi gani? Mfano kwa siku, wiki au mwezi.
 
Ungefunguka kidogo ukajieleza vizuri hapo utapata maswali badala ya majibu
 
Nataka mchele kilo elfu moja, na kuhusu mayai na kuku nataka wa kizungu, kuna tenda nazifukuzia kwenye hotel, ni pm wenye kuku na mayai nijue tunafanyaje biashara, asante
 
Mimi Niko dar, ni vyema hao kuku na mayai wawepo dar, mchele hata kama uko nje ya dar name lkama bei ni nzuri, sina tatizo tutaongea biashara
 
HELLO, ni siku nyingi since utume post yako am kind interested kufanya biashara na wewe ya kuku na mayai.. if possible unaweza nichek kwa namba hii 0713441697
 
Back
Top Bottom