Masokwe
JF-Expert Member
- Mar 30, 2019
- 454
- 682
Hello wadau. Husika na Habari hapo juu
Natafuta mwanamke anayejielewa
-Awe angalau Maji ya kunde au mweupe WA asili no mkorogo
-Mrefu kiasi tuu, asiwe mfupi sana, maana mimi ni mrefu kiasi
-Akiwa na mwili kiasi na shape ya kike itakuwa vyema sana
-Akiwa muislam itapendeza ila dini yoyote Sawa tuu
Umri wangu miaka 31,
Elimu : bachelor degree
Kazi : Mjasiriamali
Njooo inbox tuyajenge