baraka clemence
Senior Member
- Sep 18, 2016
- 137
- 67
Ni kijana mwenye miaka 29 mfanyakazi private school as a teacher natafuta mchumba age between 22-25 awe na hofu ya Mungu na mweupe.
Nawasilisha
Nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mejinsia yako ?
Shule yetu kuna madam mmoja nae kaolewmkuu yani hata walimu wenzio hapo shuleni, mitaani, ibadani umekosa.
Nimeenda washakuwa occupied mkuuPitia pitia thread zinazotafuta mume malizaneni pm, vitu vingine ni kujiongeza mkuu sio lazima utangaze
[emoji15][emoji15][emoji15]mkuu huku wapo... usivunjike moyo ila watakufata pm...
NB: wengi hawatafuti mume bali wanatafuta help wa kuwatoa kimaisha!!!
Rangi imenikosesha mchumbaNi kijana mwenye miaka 29 mfanyakazi private school as a teacher natafuta mchumba age between 22-25 awe na hofu ya Mungu na mweupe.
Nawasilisha
Hili domo zege
mkuu huku wapo... usivunjike moyo ila watakufata pm...
NB: wengi hawatafuti mume bali wanatafuta help wa kuwatoa kimaisha!!!
nitafute mimi IN BOXNi kijana mwenye miaka 29 mfanyakazi private school as a teacher natafuta mchumba age between 22-25 awe na hofu ya Mungu na mweupe.
Nawasilisha