Natafuta mchumba aliye seriuos

Natafuta mchumba aliye seriuos

Furahatuu

Senior Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
115
Reaction score
40
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 31 nina elimu ya chuo kikuu na ninafanya kazi pia ni mjasiriamali.

sifa za mwanaume ninayemtaka awe mrefu wa wastani, mkristo, mcha Mungu, Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea awe ameajiriwa au kujiajiri. umri miaka 30-40 sifa ya ziada awe anapatikana eneo la mikoa ya Kilimanjaro, Arusha au Manyara kwa kuwa nami napatikana moja ya mikoa hiyo niko serious kama haupo serious usini PM. aliye tayari anicheck kwenye email donydammy@gmail.com asanteni wana JM.
 
Ongezea pia sifa hii: awe mwanachama wa chadema manake hiyo mikoa uliyoitaja ndio hasa tulipokita mizizi. Hahahahahahahaaaaaaaaaa! Just kidding.
 
Am looking for a friend that will spice up my life, stable christian a must. Am 45 separated
 
naomba kuifunga thread hii rasmi na sitahitaji tena PM wala ushauri . nawashukuru kwa michango yenu
 
kasitisha maana keshapata { MGONJWA AKIKATAA DAWA JUA KESHA PONA AU ANAHITJI KUFA]
 
Back
Top Bottom