Natafuta mchumba aliyeokoka

Natafuta mchumba aliyeokoka

Hivi wapo wanaume single waliokoka kwa huo umri ulioutaja kabisa humu ndani achilia vigezo vya Mali kuokoka kabisa kwa ukweli hofu ya Mungu wapo kweli humu ndani
 
Kama ni kusudi la Mungu kunikutanisha na wewe tutakua mke na mume siku moja. Kwa ufupi mimi ni mwanaume wa miaka 35, nimeokoka na nampenda Yesu. Nimekulia kwenye familia ya Waliokoka na baba yangu ni Mchungaji. Nina Elimu ya juu , naishi Arusha na nimeajiriwa huku Arusha. Kwa ufupi naomba uni Pm tufahamiane zaidi.
 
kila la kheri na MUNGU awatangulie
Kama ni kusudi la Mungu kunikutanisha na wewe tutakua mke na mume siku moja. Kwa ufupi mimi ni mwanaume wa miaka 35, nimeokoka na nampenda Yesu. Nimekulia kwenye familia ya Waliokoka na baba yangu ni Mchungaji. Nina Elimu ya juu , naishi Arusha na nimeajiriwa huku Arusha. Kwa ufupi naomba uni Pm tufahamiane zaidi.
 
Mimi ni msichana wa miaka 27, mwajiriwa selikalini naishi Mbeya. Elimu yangu ni shahada ya kwanza. Nimeokoka. Mimi naamini mume au mke mwema anatoka kwa bwana but unaweza kukutana nae popote. Nami nahitaji mwanaume aliyeokoka. Umri kuanzia Miaka 28 elimu kuanzia form four kabila lolote. Awe nakKazi halal ya kumuingizia kipato.

Karibu pm.
Church is the best place..... Hapa the Jeif... Na mmmmh
 
Nini alama ya uokovu? Omba Mungu atakuonyesha atakaekufaa atakama ajaokoka lakini atakua na mapenzi ya dhati kwako. Usifunge baraka za Mwenyenzi Mungi kwa kujifunga kwa mipaka yako.
 
Mtu aliyeokoka kweli kweli anakuwa ana hofu ya MUNGU na hata mtu hasiyeokoka lakini mwenye kuogopa dhambi anaweza kuwa mtu mwema kwenye ndoa. Kwahiyo Kigezo cha dada yetu ni kizuri ili ndoa iwe na amani.
 
Mbona kule kanisani kwako wapo wanaume kibao ambao ni single???
 
Da ukiokoka unakuwa huna kiwewe na wachumba wa mitandaoni namwombea MUNGU amsamehe bure
 
Kweli maadili sasa yamebumburutuka kila mahali. Mdada unayesema umeokoka unajinadi humu jf kwamba umekosa mume huko Mbeya makanisani kote hadi ufikie humu jf?? Mchungaji wako hana hata malezi kukufunza yakupasayo?? Poleni wenzangu. Huyu Yesu sijui akirudi ka atakuta imani tena humu duniani.
 
Mimi ni msichana wa miaka 27, mwajiriwa selikalini naishi Mbeya. Elimu yangu ni shahada ya kwanza. Nimeokoka. Mimi naamini mume au mke mwema anatoka kwa bwana but unaweza kukutana nae popote. Nami nahitaji mwanaume aliyeokoka. Umri kuanzia Miaka 28 elimu kuanzia form four kabila lolote. Awe nakKazi halal ya kumuingizia kipato.

Karibu pm.

Karibu pm
 
Back
Top Bottom