Johnson Peter
New Member
- Nov 29, 2018
- 3
- 1
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25
Nimeajiriwa kwenye taasisi fulani hapa Dar es salaam.
Elimu yangu ni Diploma of Education.
Mi ni mrefu, mweusi. (hapa najua kuna girl hatanizingatia maana baadhi yao hawapendi wanaume weusi).
Kiukweli nimechoshwa na upweke na natafuta mchumba ambae hatimae atakuwa mke.
Sio kwamba huku mitaani na kazini hakuna wanawake ila sasa hakuna mwenye vigezo navovitaka.
Msichana nnaemtaka awe na sifa zifuatazo.
Asiwe mfupi sana au mnene sana.
Awe na elimu angalau ya form four.
Awe na shughuli yoyote halali ya kumuingizia kipato.
Asiwe mlevi
Awe mtu mwenye tabia njema angalau hana sifa mbaya au skendo za ajabu.
Awe na umri kati ya 20 mpaka 25. Kama ni 26 au 27 ntakufikiria, (ila sijui ndoa na alienizidi umri itakuwaje).
Sura sio lazima iwe nzuri ila iwe ya kawaida, isiwe mbaya.
Kama uko serious njoo PM tuyajenge.