nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
AiseKila siku unahangaika kufungua ID Mpya .......wanawake bwana tamaa mbele mauti nyuma
Mnatafuta wa kupiga vizinga ....ukiona yupo kimya unafungua ID mpya tena kutafuta wengine
sent from toyota Allex
Nenda pmChura ipo?
Ili ukifa mapema mke arithi mali zoteKuna ulazima gani mwanamme awe amekuzidi umri kwenye mahusiano?
Mwanajeshi? Kumbe unataka six pack!! Akija wa six lkn sio mwnajeshi utamkubali shogaangu??Mimi ni mwanamke, Natafuta mchumba ambaye tutaweza kuanzisha familia pamoja,
Baadhi ya sifa zangu
1.Mimi ni mwanamke wa kawaida tu,
2.Nimeajiriwa
3.sina mtoto wala sijawai kuolewa
4.30yrs
5.Elimu chuo
6. Dini Mkristo
Mengine tutaelezana PM.
Sifa za mwanaume nimtakaye
1. Awe ameajiriwa au kujiajiri katka sekta yoyote ile but akiwa mwanajeshi itakuwa vizuri zaidi
2.Awe na Elimu kuanzia form4
3.Awe na miaka kat ya 31_36
4.Dini awe mkristo
5.kabila lolote lile.
N.B nitafurahi sana kama nitapata hitaji LA moyo wangu, nitakupenda daima.
Karibuni Pm but kwa aliyeserious kabsa
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulimpata RRONDO kwa kwenda pm?Nenda pm
Mimi ni mwanamke, Natafuta mchumba ambaye tutaweza kuanzisha familia pamoja,
Baadhi ya sifa zangu
1.Mimi ni mwanamke wa kawaida tu,
2.Nimeajiriwa
3.sina mtoto wala sijawai kuolewa
4.30yrs
5.Elimu chuo
6. Dini Mkristo
Mengine tutaelezana PM.
Sifa za mwanaume nimtakaye
1. Awe ameajiriwa au kujiajiri katka sekta yoyote ile but akiwa mwanajeshi itakuwa vizuri zaidi
2.Awe na Elimu kuanzia form4
3.Awe na miaka kat ya 31_36
4.Dini awe mkristo
5.kabila lolote lile.
N.B nitafurahi sana kama nitapata hitaji LA moyo wangu, nitakupenda daima.
Karibuni Pm but kwa aliyeserious kabsa
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio! Vunja ukimya.Wewe ulimpata RRONDO kwa kwenda pm?
Labda anaamini mjeshi atakuwa fit kwenye chachandu, kumlinda, kujiheshimu, unadhifu, uhakika wa ajira, kujituma nyumbani, au labda ni mapendeleo yake tu..Me nimetamani tu kujua kwanini mwanajeshi..!? Naweza jibebea point 3 muhimu hapa..!
CONTROLA eni aidia hia mdogo wangu!!?
Dah hivi kwann wajeda wanapendwa saana?? Mimi ni seniour jf member vip sijakidh vigezo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana kwa kunifumbua macho, Niliuliza sababu nawapenda wanajeshi vile tu huwa 'wanajiamini'..! Ndiyo maana nilitaka kufahamu hili kiundani.!Labda anaamini mjeshi atakuwa fit kwenye chachandu, kumlinda, kujiheshimu, unadhifu, uhakika wa ajira, kujituma nyumbani, au labda ni mapendeleo yake tu..
Ila siye JKT wa mujibu wa sheria tumekosa bahati yetu.. π ππ‘
Mkuu kuna mengi yanatokea ktk mchakato huu, kutumiana picha, namba za simu, n.k.Kila siku unahangaika kufungua ID Mpya .......wanawake bwana tamaa mbele mauti nyuma
Mnatafuta wa kupiga vizinga ....ukiona yupo kimya unafungua ID mpya tena kutafuta wengine
sent from toyota Allex