Natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mume wangu

Natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mume wangu

Mimi ni mwanamke, Natafuta mchumba ambaye tutaweza kuanzisha familia pamoja,

Baadhi ya sifa zangu
1.Mimi ni mwanamke wa kawaida tu,
2.Nimeajiriwa
3.sina mtoto wala sijawai kuolewa
4.30yrs
5.Elimu chuo
6. Dini Mkristo
Mengine tutaelezana PM.

Sifa za mwanaume nimtakaye

1. Awe ameajiriwa au kujiajiri katka sekta yoyote ile but akiwa mwanajeshi itakuwa vizuri zaidi
2.Awe na Elimu kuanzia form4
3.Awe na miaka kat ya 31_36
4.Dini awe mkristo
5.kabila lolote lile.

N.B nitafurahi sana kama nitapata hitaji LA moyo wangu, nitakupenda daima.

Karibuni Pm but kwa aliyeserious kabsa

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanajeshi? Kumbe unataka six pack!! Akija wa six lkn sio mwnajeshi utamkubali shogaangu??
 
Miaka 30 bado unatafuta mchumba ?
Hebu badilisha heading hapo isomeke unatafuta mume.
Mimi ni mwanamke, Natafuta mchumba ambaye tutaweza kuanzisha familia pamoja,

Baadhi ya sifa zangu
1.Mimi ni mwanamke wa kawaida tu,
2.Nimeajiriwa
3.sina mtoto wala sijawai kuolewa
4.30yrs
5.Elimu chuo
6. Dini Mkristo
Mengine tutaelezana PM.

Sifa za mwanaume nimtakaye

1. Awe ameajiriwa au kujiajiri katka sekta yoyote ile but akiwa mwanajeshi itakuwa vizuri zaidi
2.Awe na Elimu kuanzia form4
3.Awe na miaka kat ya 31_36
4.Dini awe mkristo
5.kabila lolote lile.

N.B nitafurahi sana kama nitapata hitaji LA moyo wangu, nitakupenda daima.

Karibuni Pm but kwa aliyeserious kabsa

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nimetamani tu kujua kwanini mwanajeshi..!? Naweza jibebea point 3 muhimu hapa..!
CONTROLA eni aidia hia mdogo wangu!!?
Labda anaamini mjeshi atakuwa fit kwenye chachandu, kumlinda, kujiheshimu, unadhifu, uhakika wa ajira, kujituma nyumbani, au labda ni mapendeleo yake tu..
Ila siye JKT wa mujibu wa sheria tumekosa bahati yetu.. 😕 😕😡
 
Wakienda congo miaka mitatu tu wakirudi wanapewa mamilioni... hawajengi nyumba kwa kuunga unga.. pia wanawake wanakaa wenyewe sana hawabanwi banwi.. na kadi za mshahara wanaachiwa wakae nazo wake.. maana mission kila kitu bure
Dah hivi kwann wajeda wanapendwa saana?? Mimi ni seniour jf member vip sijakidh vigezo??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo sisi under 30 haturusiwi kuja pm


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Labda anaamini mjeshi atakuwa fit kwenye chachandu, kumlinda, kujiheshimu, unadhifu, uhakika wa ajira, kujituma nyumbani, au labda ni mapendeleo yake tu..
Ila siye JKT wa mujibu wa sheria tumekosa bahati yetu.. 😕 😕😡
Ahsante sana kwa kunifumbua macho, Niliuliza sababu nawapenda wanajeshi vile tu huwa 'wanajiamini'..! Ndiyo maana nilitaka kufahamu hili kiundani.!

Naomba nieleweshe sentensi yako ya mwisho tafadhali.!
 
Kila siku unahangaika kufungua ID Mpya .......wanawake bwana tamaa mbele mauti nyuma

Mnatafuta wa kupiga vizinga ....ukiona yupo kimya unafungua ID mpya tena kutafuta wengine



sent from toyota Allex
Mkuu kuna mengi yanatokea ktk mchakato huu, kutumiana picha, namba za simu, n.k.
Sasa kama ulishaweka post za kushambulia watu hasa wanasiasa ukijulikana unaweza kujikuta upo jela au upo mortuary marehemu.

Au ulitoa taarifa kwa serikali jinsi hujuma zinazo fanyika kwenye taasisi flani lazima watu wakufanyie kisasi.
 
dah!? hatari hii, wameshakubutua huko, titi limekua ndala, tako limejipiga mtepesho, papuchi imedoda. ndo unatafuta mtu humu wa kumbebesha!?.. naweza kukuunganisha na mwanajeshi(liutenant) anataka mtoto , vipi una kizazi!? na sura je!? ili usijemharibia watoto, mengine mtamalizana maana hvo ndo vigezo vyake.
 
Back
Top Bottom