Natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mume wangu

Labda anaamini mjeshi atakuwa fit kwenye chachandu, kumlinda, kujiheshimu, unadhifu, uhakika wa ajira, kujituma nyumbani, au labda ni mapendeleo yake tu..
Ila siye JKT wa mujibu wa sheria tumekosa bahati yetu.. 😕 😕😡

Mkuu - hata wewe kwa mujibu wa sheria ni Mwanajeshi. Force Number si unayo? Usijitoe...
 
Mimi nina miaka 28
ni Luteni wa jeshi
naishi Tegeta
nina mke moja nataka kuongeza mke wa pili.
huwa sipendi mizaha isiyo na mpango.
ukiwa mke wangu marufuku kuvaa mawigi au kubandika mikucha ya bandia

Vipi ninakufaa uwe mke mdogo ?
 
hivi kujiamini mnakupendea nn??
nina demu wangu huyo, haachagi kunisifia kwa ninavojiamini, ktk madem nliwai kukutana nao, asilimia kubwa wanapenda wanaume tunaojiamini,

kuna siri gani kwny kujiamini????
Ahsante sana kwa kunifumbua macho, Niliuliza sababu nawapenda wanajeshi vile tu huwa 'wanajiamini'..! Ndiyo maana nilitaka kufahamu hili kiundani.!

Naomba nieleweshe sentensi yako ya mwisho tafadhali.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani!
Wanajeshi mmepewa kipao mbele changamkieni fursaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…