Natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mume wangu

Natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mume wangu

Me nimetamani tu kujua kwanini mwanajeshi..!? Naweza jibebea point 3 muhimu hapa..!
CONTROLA eni aidia hia mdogo wangu!!?
Mjeda huyo anatafuta mwenza,waache wajipeleke Tu

wakati hata ile kwa Mujibu walitoroka hawakwenda.

watavyorushwa kichura chura humo ndani ya nyumba akili itawakaa sawa.
 
Mimi ni mwanamke, Natafuta mchumba ambaye tutaweza kuanzisha familia pamoja,

Baadhi ya sifa zangu
1.Mimi ni mwanamke wa kawaida tu,
2.Nimeajiriwa
3.sina mtoto wala sijawai kuolewa
4.30yrs
5.Elimu chuo
6. Dini Mkristo
Mengine tutaelezana PM.

Sifa za mwanaume nimtakaye

1. Awe ameajiriwa au kujiajiri katka sekta yoyote ile but akiwa mwanajeshi itakuwa vizuri zaidi
2.Awe na Elimu kuanzia form4
3.Awe na miaka kat ya 31_36
4.Dini awe mkristo
5.kabila lolote lile.

N.B nitafurahi sana kama nitapata hitaji LA moyo wangu, nitakupenda daima.

Karibuni Pm but kwa aliyeserious kabsa

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Usingekua mjeda ungekua wangu tatizo unaonekana kua ni mjeda
 
M npo mwanajesh jwtz NAVY dar,,ila miaka 21...kama utankubal saw lakn spo tyar kwa ndoa mda huu,,Kam umeshampata Kila laher
 
dah!? hatari hii, wameshakubutua huko, titi limekua ndala, tako limejipiga mtepesho, papuchi imedoda. ndo unatafuta mtu humu wa kumbebesha!?.. naweza kukuunganisha na mwanajeshi(liutenant) anataka mtoto , vipi una kizazi!? na sura je!? ili usijemharibia watoto, mengine mtamalizana maana hvo ndo vigezo vyake.
papuchi ndio nini??

Na wajeda wakike hamna uko wenye kutaka mume ?
 
Back
Top Bottom