adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Nauliza 2. Nataka nijue commission yake asilimia ngapi?? Anitafutie bi shosti m1 na mimiacha wivu adakiss
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauliza 2. Nataka nijue commission yake asilimia ngapi?? Anitafutie bi shosti m1 na mimiacha wivu adakiss
umekuwa dalali??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ukimpata msichana mwenye sifa kama za huyu ila anayelook alike na wema niunganishe nae.
kama ana kitambi awe tayari kukiondoa
hata kama ningekua na vigezo hivyo nisingekua tayali kwani kwa masharti hayo inaonyesha jinsi gani unavyo taka kuwa tegemezi! we vigezo buku!mfano wa mtu uliejifananisha nae ni wa kawaida sana hivi hata wazazi wako wangekua waliwekeana vigezo hivyo wewe ungekuwepo!ungesema wewe unakunya keki hapo ingekua sawa! acha ulimbukekeni mapenzi hayana muonekano kwamba yanakuja hivi,huu ni ubabaishaji kama wa ccm....!
may kuna mwanaume unayem-discribe...nakushauri umtokee tu usione soo, sema naye
Unamtaka msichana mwenye kitambi eeh?
Hapana awe na tumbo flat kiuno cha nyigu mahaga na mpododo wa kutosha ila sura iwe kama ya wema bhaasi, nitafutie mwayego.
Ha ha ha ha......umeniudhi sana!
Nadhani umejiandaa kwa ajili ya uvumbuzimimi ni msichana, natafuta mpenzi wa kweli, sitaki longolongo, awe amesoma anahold degree au masters, awe mweusi kidogo, mtanashati, awe anapenda mpira wa miguu kucheza asiwe na kitambi, awe alisoma masomo ya science sekondary.awe uptodate..asiwe mshamba mshamba, ajue kupenda kwa dhati. Awe na umri wa miaka 28 hadi 35.mimi kwa muonekano nipo kama flaviana matata. Nimesoma chuo kikuu. Nafanya kazi binafsi. Ni PM kama upo serious.