Natafuta mchumba awe Bikira

Kifuniko we ni bikira wa kitu gani? Maana sifa za mwanamke unayemtaka namjua mmoja. Yupo Kibondo ndani ndani. Na mwingine yupo Masasi kijiji cha Namatumbusa.
 
Katoe oda ya huyo mwanamke kwenye familia jirani huko kijijini kwenu.Ikiwezekana weka oda kwenye mimba kama 5 hv! Naamini mchumba wako atapatikana hapo. Bikra na asiyetoga masikio. Mimi au yule tunaweza kuwa na sifa hizo,halafu tusikupende! Then what! Si utachukua miaka mi5 na itabidi ubadili vigezo. Yaani utavichakachua. Ila hutapata unayemtaka. Na naona yeyote atakayejitumbukiza kwako atajuta kuzaliwa. You seem to be so selfish.
 

Hauko serious....
 
Ni ngumu sana, si rahisi mtu mmoja awe na vitu vyote hivyo kwani naona zingine haziendani
 
Nwdayz hawa wenze2 bana,,du! Bikra inaondoka tangu under 16, sasa cjui utamchukua huyo au?
 
Daaah!jomba unataka ki2 sild?ha ha ha ha,huwz pata labla unipekaz nikufndie kwe2 ZANZIBAR,coz kwe2 bila sil hamna ndoa
 
Subiri ukifa utampata peponi hurulain,maana izo cfa 2much km vl ww ndomuumba
 
:lol::lol::lol::lol:mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh kaka bikira hiyo unayo itaka ina tafsiri nyingi howevwer i hav every thing btu not bikra what about that !!!!!!!!!!!?????????????????.but thanxs
 
Hna lolote hata hao chadema ni mafisadi tena wakubwa sana na wapo ambao twwajua ww!!!!!!!!!!
 
pole baba,kwanza hongera kw kua bikira...mchana omba sana na ucku mtafute..utampata 2 ucwe na shaka.
 
Mtumie ndugu yako hasa wa kike kama unae mwenye sifa hizo akutafutie kwani watu kama hao wanajuana!!! acha kudata kihivyo.
Hiyo bahati anaepata ni ambae hakutegemea.
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…