Natafuta mchumba awe mke baadae awe mwalimu miaka 24+ awe secondary

Natafuta mchumba awe mke baadae awe mwalimu miaka 24+ awe secondary

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Uwe mrembo mwenye msimamo, unajitambua na mchapakazi, sichagui kabila mm nipo Dar, mfanyakazi wa serikali taasisi ni siri yangu tuonane pm tutambuane mm ni half maji ya kunde,urefu Sm 177 mwanamke awe mweupe au maji ya kunde

Nipo serious

Nahtaj mwalimu kwani atakua mama,mlezi,na mwalimu kwa watoto wangu staki sifa ya mwalimu kwa ajili ya kumtegemea au kuangushia hapana ninaweza kuhudumia familia kila kitu
 
Vijana wa siku hizi mna vituko sana.Sisi tumeoa mama zenu hawana kazi na tunaishi.Mnataka wenye kazi siyo?😂😂😂😂😂
 
Ngoja nianzishe website ya kutafuta wachumba ya kitanzania kwa walio siriazi tu....
Hapa wata kukejeli na utani mwingi...
Kujisajili itakuwa gharama ndogo tu kama kuweka bando...
Kuna hela nyingi tu hapo....
 
Mwalimu kama anakaa na wajinga 100 darasani, obviously hawezi shindwa kukaa na wewe mmoja tu
 
Uwe mrembo mwenye msimamo, unajitambua na mchapakazi, sichagui kabila mm nipo Dar, mfanyakazi wa serikali taasisi ni siri yangu tuonane pm tutambuane mm ni half maji ya kunde,urefu Sm 177 mwanamke awe mweupe au maji ya kunde

Nipo serious

Nahtaj mwalimu kwani atakua mama,mlezi,na mwalimu kwa watoto wangu staki sifa ya mwalimu kwa ajili ya kumtegemea au kuangushia hapana ninaweza kuhudumia familia kila kitu
Uko serious kweli?
 
Bank teller nipo hapa ngoja nipite zangu hainihusu.
 
Back
Top Bottom