Natafuta mchumba baadaye kuwa mme

nimeelewa hapo "awe anajua thamani ya mwanamke"....we unajua thamani ya mwanaume???..
 
Haya maneno angeyasema mzungu mapovu yangewatoka mithili ya foma! Kumbe wazungu wanayo haki ya kutubagua, kama wenyewe kwa wenyewe tunabaguana namna hii SAWA ENDELEA KUMTAFTA UYO MCHUMBA
 
Kila la heri, atakuja designer mwenzio maana tuliambiwa atakupa wa kufanana nawe,mi nina rangi ya oil nimekosa chansi
 

Njoo PM
 
Masharti meengi nilijua una hela nyingi za kujitegemea.
Kumbe unataka wa kukulea
 
Mimi nipo mbeya. Nina sifa zoote. Mbona hujibu pm zangu????
 
Mapenz mazur mkutane ghafl ktk mazingira mmoja apatwe na hisia hbr ya kulazimisha hisia za mitandaon mtaishia kuachana kila ck na kusema kuna mikosi
 
una umri wa 24yrs -----unataka wa 25 - 32yrs....... ,, utapata baka bandua.........nakwambia wewe ukifikisha 32......utamuona ni garasa......nakushauri tafuta pesa mdogo wangu,,,,,,mume yupo mahali anakusubiri.......
 
Niliwahi kusikia dhehebu la RC linasheria kali sana sasa naona hadi waumini wake wanazitimiza kwenye utafuataji wa mume, safi sana, ndoano bila chambo unaweza ukavua magugu, nitag akinasa ila endelea kumuomba Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
Mimi nimeajiri je sitakiwi
 
Na mimi nipo huku huku mikoa ya jirani ... [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…