Natafuta mchumba Bikra(ke)

Unapitaga huku loooooh[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
mtoto wa watu anasoma sasa hivi kuwa mvumilivu mkuu pia hajaona mengi badoo miaka 21 mmmh bado sanaa tembea tembeana wewe then ubadilishe hilo wazo la uvirgin

nawasilisha
 
Ndugu Milton Jackson mimi kakako nakushauri haya
1. Usitafute mwanamke mwenye bikra sababu bikra haitojenga maisha yako.Muombe Mungu akupe mke mwema mchamungu ambaye atakuwa na akili ya kimaisha.
2.Usitafute mwanamke mzuri wa umbo,kwani umbo lake halitakusaidia kumaliza umaskini/shida ulizonazo.Mwombe Mungu akupe mke mwema mwenye tabia nzuri ili uwe na ndoa ya kudumu.
3.Usitafute mwanamke kwa kuwa una kazi na kipato.Tafuta mwanamke ambaye atakuwa mkeo na hakikisha tayari umejiandaa kuingia katika mahusiano ya ndoa,sio unaoa leo baada ya wiki/mwezi umenuniwa unatoa talaka.
4.Jitahidi sana kufanya maamuzi yenye busara hasa wakati unapokaribia kuoa.Hakuna mwanaume duniani aliyeoa mwanamke malaika.
5.Epuka pia kuoa kwa sababu fulani au rafiki yako kaoa na wewe ndo ufanye kama mashindano.Fanya maamuzi sahihi na ya busara kila wakati.Mshirikishe sana Mungu katika hili.
 

Yeleuuwiii [emoji2][emoji2][emoji2] sasa mkuu na wewe una bikra ama? Ama unataka tu mwenye bikra halafu wewe hauna bikra hata moja
? [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
 
Mweupe sio, au wasemaje Ngosha?
Nina dogo langu limekaa kisomali flani
 
Utampata mkuu ila kumjua mwenye nayo orignal ndio inaweza kuwa kazi maana kuna zile bikra za mfupi yaani disposable[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
I wish you could share that knowledge.
 
Kla rakheli mkuu
 
Unatafuta Bikra JF
Za Mbele Hakuna Humu Labda Za Nyuma
 
Ahsanteh sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…