Natafuta mchumba Bikra(ke)

Natafuta mchumba Bikra(ke)

Endelea kutafta2 kjana ang!!

Ila huwez kupata hyo ktu kwa urahis!
 
Jamaa hataki kupashiwa kiporo moto na ma ex.kama nawaona vile msio ma bikra mnavo waka moto kwa jamaaa[emoji23][emoji23][emoji23].Bikra ni tamu lakin especially ndio ukaoa akawa mke.japo siku hz n ngumu hizo kuzipata mithili upo wodi ya wazazi.
 
Hautak chama la wana!!
Akikuambia bikra utaijua sku baada ya ndoa, maana kamuandalia mume atakaye muoa itakuaje apo???
 
Mkuu anatafuta bikra kwenye wodi ya wazaz(jf)
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Bora chungwa kuliko chenza!mi sasahiv nikitaka kuoa natafuta dunganyembe tu
 
Bora chungwa kuliko chenza!mi sasahiv nikitaka kuoa natafuta dunganyembe tu
Haaaa aisee [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
zipoje izo?

Endeleeni kusaka mke mwenye bikra wapo wengi sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

IMG_4823.JPG
 
Khaa... Hii kali sana ila hili ndio ndoto ya wanaume wengi
With any luck unaweza ukapata lakini... Umri wa miaka 19-20 ni umri mbaya wa kuingia kwenye ndoa HASA YA KIKRISTO!
Kumbuka huyu hajaona mengi ya dunia
Kumbuka huyu hajaonja ladha tofauti tofauti za zakari
Kumbuka huyu atakuwa hana uzoefu wowote na mapenzi (shida na raha zake)
Kumbuka atakuwa na furaha sana ya kupata mume lakini sio guarantee ya kukupenda kwa dhati
Kumbuka kuna first love experience... Kupenda bila sababu (haya ni mapenzi mabaya kabisa) na inaweza kumtokea mmoja wenu, hasa yeye katikati ya ndoa... Usiombee hii kitu...

Ndoa ni gereza la hiari la mapenzi... Pata mfungwa aliyemaliza kifungo ama mtuhumiwa aliyekaa mahabusu... Huyu hatakusumbua
Paka akihama alipokulia then akakarudi baada ya muda hawezi kuwa mwema kama mwanzo, hao walio kaa mahabusu hufikia wakati wanakumbuka vya kutupiwa mgao haukolei!
 
raha ya

raha ya ngoma ichezwe kabla ya sherehe

Ndio unaweza kupata bonus wakati wa kucheza ngoma kabla ya sherehe bikra ukaikuta na baada ya sherehe pia ukaikuta [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Kalagha baho
 
We bikra unayo icje ikawa unataka bikra afu we Ata marinda Huna...
 
Back
Top Bottom