UMESAHAU kua awe na Nguvu za kiume. anaweza kuwa na yote kumbe hasimamishi mpaka apewe bosster na betri la meli au ana kidole cha mwisho cha mguu
Nenda utajiendeleza[emoji23] [emoji23]Daah wenye CERTIFICATE hapa sio Mahala pake .ngoja mwakani nikajiendeleze Diploma hatimaye Bachelor
Hahaa!hahahha anzia zoom college
[emoji23] [emoji23] [emoji23]sifa zote ninazo ila kitambi na ninakipenda kitambi changu,nenda tuu dada
Tunza Muda wako Kaka.Barikiwa.Hiyo digrii mi sina kiukweli na huo urefu unaoutaka sinaa tena, unielewe. Hivo vingine Mungu amenibariki bwana, sasa nije huko PM au nisipoteze Muda?
Yes tofauti ipo.Thank you,God bless you too kakaUtampata tu, ila sijui kama kuna tofauti ya mlevi na mnywaji lakini kwa nnavyojua, maadam wavaa vipedo wameenguliwa kwenye game hiyo, hicho kigezo cha ulevi kitakuwa ni mchujo mkubwa kwa wahusika. God bless you!
Ahsante Kwa marekebisho.5'5 sio urefu, ni ufupi.
Ahsante Kaka,be blessed.sifa zote ninazo ila kitambi na ninakipenda kitambi changu,nenda tuu dada
una bikra?Habari,
Mimi ni mwanamke wa kitanzania,natafuta mchumba atakayekua mume.
Wasifu wangu:_
Umri wangu ni miaka 30
Mkristu-RC(Mcha Mungu)
Nina Degree ya kwanza(kuna plani ya kujiendeleza)
Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)
Nina umbo la kiafrika,(size 6/8,58-60Kgs),rangi yangu ni maji kunde(natural)
Urefu wa wastani 5’5”
Mimi ni mtu
-Ambitious
-kind hearted
-loves to learn
-Loves to help
-loves to cook
-Nerd
-Adventurous
-I enjoy outdoor activities (beach/yoga)
-Mpole
-Confident
- A very happy person
Niko tayari kusettle na kuanzisha familia.Naamini ndoa sio mwanzo wala mwisho bali ni muendelezo wa maisha with minor adjustments to accommodate the new person.
wasifu wa mchumba mtarajiwa
-Mcha Mungu
-mkristu(sio mlokole)
-Umri 27-36 yrs old
-Awe na Degree moja au zaidi
-Awe ameelimika(intellect)
-Open minded
-Urefu wake 5’8” au zaidi
-Awe na furaha
-Awe mkweli na mwaminifu
-Asiwe mlevi
-Awe na mwili wa wastani(bila kitambi-otherwise,awe tayari kuambata na na mimi gym 😵)
-Awe anajiweza kiuchumi(sijamaanisha tajiri,ila katika umri tajwa natumaini atakua amepiga hatua flani)
-Asiwe na itikadi kali za kisiasa
-Apende maisha na afurahie kuishi.
-Asivute sigara/ganja/pariki/ugoro etc
-HIV negative
Atakayeona tunafaana(kulingana vigezo tajwa ) karibu PM.
Mbarikiwe.
Walokole hawana shida kabisa,ni tofauti ya kiimani Tu ambayo siko tayari kudeal nayo.Walokole wana nini naona vigezo vikiwekwa hapa kwenye kipengele cha dini msisitizo kwenye mabano asiwe mlokole.!
Ahsante Kwa ushauri na ufafanunuzi wa kina,kamwe sijawahi muheshimu au kumdharau mtu Kwa kigezo cha elimu/kipato/dini n.k,kigezo cha elimu ni pendekezo binafsi haihusiani na kipato wala heshima au dharau...Shida ya wanawake walio fika vyuo huwa wanataka kuweka elimu zao sambamba na mahusiano yao...hapo hata ukimpata mtu utakuwa unamushim sababu ya elimu yake....mapenz na vigezo vyako haviendan kabisa kabla ya kutafuta mchumba tafuta kwanza darasa la mahusiano na ndoa na vip watu wanaishi...wengi mnadhan ukubwa wa elimu ndio urahisi wa maisha au uwezo wa kufikiri kitu ambacho sio kweli kwa asilimia kubwa haswa kwa elimu yetu ya bongo...tafuta mtu atakayekupenda na unaye ona ana potential even if hayupo kwenye level unazozitaka msaidie afike mbali kwa kumpa moyo na kampan yake kupitia wewe atajituma...tatizo hamtaki kujenga kitu chenu mnataka kuanzia kati kati kwenda juu au kuanzia juu..!..na mbaya zaid wanaume wasomi hawawapend wanawake wasomi sababu wanawake mnatumia elimu kama defence kwa mwanaume ndoa zao zinamisuguano sana..!..huwez kupata mume had utakapo kuwa practial na kuacha nadharia.!...unaweza kuwa na degree zako na ukaendelea na shughuli zako na mumeo akawa akawa na form four yake na biashara zake na hata kipato kikubwa kkuzid na maisha yakaendelea kikubwa usiingize degree zako kati yenu unless ni kwa manufaa ya family..!..jitafakari
Ahsante Kaka,ndio maana nimeweka elimu sambamba na vigezo vingine Kwa kutambua kua degree sio Kila kitu.Sasa ganja inashida gani,eniwei hongera kwa kufanya yoga na beach aktivite,mungu akujaalie upate unachotaka ingawa hicho kigezo cha digirii kwa maoni yangu hakina mashiko,kuna maprofesa nawajua kibao tu wa hovyo kama lipumba.
Ahsante Dada.kila la heri dada