- Thread starter
- #61
Deadline ni pale nitakapompata,ntaweka update kwenye post yangu ya kwanza.Mim huwa ni mtu wa deadline. Sema lini mwisho wa kutuma maombi. Na siku ya kufungua hizo tender
Karibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Deadline ni pale nitakapompata,ntaweka update kwenye post yangu ya kwanza.Mim huwa ni mtu wa deadline. Sema lini mwisho wa kutuma maombi. Na siku ya kufungua hizo tender
Ahsante, Ramadhan Kareem!Sifa zote ninazo lakini hilo la Imani, Uchumi na Siasa nimepungukiwa sifa.
Nawatakia kheri wenye sifa stahiki.
Imani yako ikuongoze,barikiwa!aiseee bahati hizi na degree kabisa ila na ulokole wangu umeshanikosa hivyooo![]()
![]()
![]()
Deadline ni pale nitakapompata,ntaweka update kwenye post yangu ya kwanza.
Karibu.
Nipo hapa njoo tuoaneHabari,
Mimi ni mwanamke wa kitanzania,natafuta mchumba atakayekua mume.
Wasifu wangu:_
Umri wangu ni miaka 30
Mkristu-RC(Mcha Mungu)
Nina Degree ya kwanza(kuna plani ya kujiendeleza)
Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)
Nina umbo la kiafrika,(size 6/8,58-60Kgs),rangi yangu ni maji kunde(natural)
Urefu wa wastani 5’5”
Mimi ni mtu
-Ambitious
-kind hearted
-loves to learn
-Loves to help
-loves to cook
-Nerd
-Adventurous
-I enjoy outdoor activities (beach/yoga)
-Mpole
-Confident
- A very happy person
Niko tayari kusettle na kuanzisha familia.Naamini ndoa sio mwanzo wala mwisho bali ni muendelezo wa maisha with minor adjustments to accommodate the new person.
wasifu wa mchumba mtarajiwa
-Mcha Mungu
-mkristu(sio mlokole)
-Umri 27-36 yrs old
-Awe na Degree moja au zaidi
-Awe ameelimika(intellect)
-Open minded
-Urefu wake 5’8” au zaidi
-Awe na furaha
-Awe mkweli na mwaminifu
-Asiwe mlevi
-Awe na mwili wa wastani(bila kitambi-otherwise,awe tayari kuambata na na mimi gym 😵)
-Awe anajiweza kiuchumi(sijamaanisha tajiri,ila katika umri tajwa natumaini atakua amepiga hatua flani)
-Asiwe na itikadi kali za kisiasa
-Apende maisha na afurahie kuishi.
-Asivute sigara/ganja/pariki/ugoro etc
-HIV negative
Atakayeona tunafaana(kulingana vigezo tajwa ) karibu PM.
Mbarikiwe.
Sawa,umesikika.Ubarikiwe.Dada unatafuta mume au nyumba ya kupanga? Nina hakika kwa umri ulionao uneshatongozwa na wanaume kadhaa na wengine wameshapiga mashine kabisa. Kama katika hao tena mpaka wa chuoni hujapata unayemtaka umeamua kuja huku kwenye mitandao kutangaza tender utakuwa na matatizo fulani au sura nzito. Hivyo vigezo utapata wanaume wa kulala nao kwa short time tu na sio mume. Kutafuta mume kwenye mitandao wakati huko unakoishi na kufanya kazi unakutana nao ni kama kuanika nguo kavu.
Urefu wangu ni 5'6''. , Naamini huenda cjakidhi vigezo syo?Habari,
Mimi ni mwanamke wa kitanzania,natafuta mchumba atakayekua mume.
Wasifu wangu:_
Umri wangu ni miaka 30
Mkristu-RC(Mcha Mungu)
Nina Degree ya kwanza(kuna plani ya kujiendeleza)
Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)
Nina umbo la kiafrika,(size 6/8,58-60Kgs),rangi yangu ni maji kunde(natural)
Urefu wa wastani 5’5”
Mimi ni mtu
-Ambitious
-kind hearted
-loves to learn
-Loves to help
-loves to cook
-Nerd
-Adventurous
-I enjoy outdoor activities (beach/yoga)
-Mpole
-Confident
- A very happy person
Niko tayari kusettle na kuanzisha familia.Naamini ndoa sio mwanzo wala mwisho bali ni muendelezo wa maisha with minor adjustments to accommodate the new person.
wasifu wa mchumba mtarajiwa
-Mcha Mungu
-mkristu(sio mlokole)
-Umri 27-36 yrs old
-Awe na Degree moja au zaidi
-Awe ameelimika(intellect)
-Open minded
-Urefu wake 5’8” au zaidi
-Awe na furaha
-Awe mkweli na mwaminifu
-Asiwe mlevi
-Awe na mwili wa wastani(bila kitambi-otherwise,awe tayari kuambata na na mimi gym 😵)
-Awe anajiweza kiuchumi(sijamaanisha tajiri,ila katika umri tajwa natumaini atakua amepiga hatua flani)
-Asiwe na itikadi kali za kisiasa
-Apende maisha na afurahie kuishi.
-Asivute sigara/ganja/pariki/ugoro etc
-HIV negative
Atakayeona tunafaana(kulingana vigezo tajwa ) karibu PM.
Mbarikiwe.
Thank you!
Aww free promo,thank you.Barikiwa.Unajibu kwa busara Sana, Vijana, wife material ndo huyo!
I don't do shortcuts,thank you!Ila mimi nina bahati sana kila mwanamke ninae mgonga nikimuacha lazima aolewe hilo limenitokea mara ya tano sasa..!..nahisi huwa ninaondoa nuksi...kuna shortcut.!
No, you deserve it, nimefuatilia reply zako zoteAww free promo,thank you.Barikiwa.
Kwani huko chuo hukuona wasomi wenzio mpaka uje kituambia unatafuta msomi
Mme sio elimu wala Mali
Mme ni yule anae kidhi vigezo vya kuwa Mme sio alie na elimu na mali
HahaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaWe weka vigezo vikali Tu,ukifikisha 40yrs na bado hujaolewa utarud tena kutafuta mume na vigezo viwili tu [emoji1] [emoji1]
Hata Mimi siko tayali kuoa mke mwenye elimu maana wanasumbua sana na system yao ya haki sawaShida ya wanawake walio fika vyuo huwa wanataka kuweka elimu zao sambamba na mahusiano yao...hapo hata ukimpata mtu utakuwa unamushim sababu ya elimu yake....mapenz na vigezo vyako haviendan kabisa kabla ya kutafuta mchumba tafuta kwanza darasa la mahusiano na ndoa na vip watu wanaishi...wengi mnadhan ukubwa wa elimu ndio urahisi wa maisha au uwezo wa kufikiri kitu ambacho sio kweli kwa asilimia kubwa haswa kwa elimu yetu ya bongo...tafuta mtu atakayekupenda na unaye ona ana potential even if hayupo kwenye level unazozitaka msaidie afike mbali kwa kumpa moyo na kampan yake kupitia wewe atajituma...tatizo hamtaki kujenga kitu chenu mnataka kuanzia kati kati kwenda juu au kuanzia juu..!..na mbaya zaid wanaume wasomi hawawapend wanawake wasomi sababu wanawake mnatumia elimu kama defence kwa mwanaume ndoa zao zinamisuguano sana..!..huwez kupata mume had utakapo kuwa practial na kuacha nadharia.!...unaweza kuwa na degree zako na ukaendelea na shughuli zako na mumeo akawa akawa na form four yake na biashara zake na hata kipato kikubwa kkuzid na maisha yakaendelea kikubwa usiingize degree zako kati yenu unless ni kwa manufaa ya family..!..jitafakari