Natafuta mchumba(future husband)

Natafuta mchumba(future husband)

Status
Not open for further replies.
Sifa zote ninazo lakini hilo la Imani, Uchumi na Siasa nimepungukiwa sifa.
Nawatakia kheri wenye sifa stahiki.
 
aiseee bahati hizi na degree kabisa ila na ulokole wangu umeshanikosa hivyooo
emoji41.png
emoji41.png
emoji41.png
 
Deadline ni pale nitakapompata,ntaweka update kwenye post yangu ya kwanza.
Karibu.

Dada unatafuta mume au nyumba ya kupanga? Nina hakika kwa umri ulionao uneshatongozwa na wanaume kadhaa na wengine wameshapiga mashine kabisa. Kama katika hao tena mpaka wa chuoni hujapata unayemtaka umeamua kuja huku kwenye mitandao kutangaza tender utakuwa na matatizo fulani au sura nzito. Hivyo vigezo utapata wanaume wa kulala nao kwa short time tu na sio mume. Kutafuta mume kwenye mitandao wakati huko unakoishi na kufanya kazi unakutana nao ni kama kuanika nguo kavu.
 
Habari,

Mimi ni mwanamke wa kitanzania,natafuta mchumba atakayekua mume.

Wasifu wangu:_

Umri wangu ni miaka 30

Mkristu-RC(Mcha Mungu)

Nina Degree ya kwanza(kuna plani ya kujiendeleza)

Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)

Nina umbo la kiafrika,(size 6/8,58-60Kgs),rangi yangu ni maji kunde(natural)

Urefu wa wastani 5’5”

Mimi ni mtu
-Ambitious
-kind hearted
-loves to learn
-Loves to help
-loves to cook
-Nerd
-Adventurous
-I enjoy outdoor activities (beach/yoga)
-Mpole
-Confident
- A very happy person

Niko tayari kusettle na kuanzisha familia.Naamini ndoa sio mwanzo wala mwisho bali ni muendelezo wa maisha with minor adjustments to accommodate the new person.

wasifu wa mchumba mtarajiwa

-Mcha Mungu
-mkristu(sio mlokole)
-Umri 27-36 yrs old
-Awe na Degree moja au zaidi
-Awe ameelimika(intellect)
-Open minded
-Urefu wake 5’8” au zaidi
-Awe na furaha
-Awe mkweli na mwaminifu
-Asiwe mlevi
-Awe na mwili wa wastani(bila kitambi-otherwise,awe tayari kuambata na na mimi gym 😵)
-Awe anajiweza kiuchumi(sijamaanisha tajiri,ila katika umri tajwa natumaini atakua amepiga hatua flani)
-Asiwe na itikadi kali za kisiasa
-Apende maisha na afurahie kuishi.
-Asivute sigara/ganja/pariki/ugoro etc
-HIV negative

Atakayeona tunafaana(kulingana vigezo tajwa ) karibu PM.

Mbarikiwe.
Nipo hapa njoo tuoane
 
Sawa,umesikika.Ubarikiwe.
 
Urefu wangu ni 5'6''. , Naamini huenda cjakidhi vigezo syo?
 
Ila mimi nina bahati sana kila mwanamke ninae mgonga nikimuacha lazima aolewe hilo limenitokea mara ya tano sasa..!..nahisi huwa ninaondoa nuksi...kuna shortcut.!
 
mkuu hawa mademu wakiwa chuo wengi wao wanaishigi na wanaume room moja Kama mke na mume kusema mwana chuo mwezi amuoe ni ngumu anakuja tafuta jinga mtaani
Kwani huko chuo hukuona wasomi wenzio mpaka uje kituambia unatafuta msomi

Mme sio elimu wala Mali

Mme ni yule anae kidhi vigezo vya kuwa Mme sio alie na elimu na mali
 
Shida ya wanawake walio fika vyuo huwa wanataka kuweka elimu zao sambamba na mahusiano yao...hapo hata ukimpata mtu utakuwa unamushim sababu ya elimu yake....mapenz na vigezo vyako haviendan kabisa kabla ya kutafuta mchumba tafuta kwanza darasa la mahusiano na ndoa na vip watu wanaishi...wengi mnadhan ukubwa wa elimu ndio urahisi wa maisha au uwezo wa kufikiri kitu ambacho sio kweli kwa asilimia kubwa haswa kwa elimu yetu ya bongo...tafuta mtu atakayekupenda na unaye ona ana potential even if hayupo kwenye level unazozitaka msaidie afike mbali kwa kumpa moyo na kampan yake kupitia wewe atajituma...tatizo hamtaki kujenga kitu chenu mnataka kuanzia kati kati kwenda juu au kuanzia juu..!..na mbaya zaid wanaume wasomi hawawapend wanawake wasomi sababu wanawake mnatumia elimu kama defence kwa mwanaume ndoa zao zinamisuguano sana..!..huwez kupata mume had utakapo kuwa practial na kuacha nadharia.!...unaweza kuwa na degree zako na ukaendelea na shughuli zako na mumeo akawa akawa na form four yake na biashara zake na hata kipato kikubwa kkuzid na maisha yakaendelea kikubwa usiingize degree zako kati yenu unless ni kwa manufaa ya family..!..jitafakari
Hata Mimi siko tayali kuoa mke mwenye elimu maana wanasumbua sana na system yao ya haki sawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom