Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
- Thread starter
-
- #61
hii ni possible umri huu wasichana ]wengi bado nipo nipo maana wengi wako vyuoni na mashuleni but anyway ngoja nivumilieUmri mdogo sana nafikiri umri huo hawamo wengi sana humu.wala hawatafuti waume. ila vumilia unaweza bahatisha
mhh kweli polepole ndio mwendo
hujapata tu?
Duh! Mwaka huu ukame. Mvua haijanyesha.
Ningekuwa mimi kwenye Red ningeweka mkristo tu, hayo mambo ya madhehebu tena unaweza kosa Mke bomba kisa Ukatoliki!!!
hjahahaah anachangua sana mimi nlikuwa tayari akanitoa nduki eti nimechanganya :hand:
khaa! Kuchamba kwingi ataondoka na mavi. Shauri yake.
mh ushauri umesikika nimeamua kuwa flexible kwenye hili la dini akikosekana ntaendelea kumsaka na mtaani sasashujapata tu?
Duh! Mwaka huu ukame. Mvua haijanyesha.
haya am flexible kwenye dini ila awe mkristo kwa kweli vinginevyo tusamehaneshauri yake na wanasema mchagua K si ......:rain:
asante mkuu ushauri umezingatiwahahaaaaaaaa ni kweli mzee unaweza kosa mke sababu ya ukatoliki nadhani arekebishe hilo!
jamani vibaya hivyo wewekhaa! Kuchamba kwingi ataondoka na mavi. Shauri yake.
mh ushauri umesikika nimeamua kuwa flexible kwenye hili la dini akikosekana ntaendelea kumsaka na mtaani sasas
ok dadaha ha ha! Bora urudi tu mtaani kwakweli.
hilo nalo neno ntazingatia wazo lako .ila ule ni wito kwa kweli mhh.Mmh! Hujapata 2. Basi huna wito wa familia. inawezekana mungu anahitaji ukam2mikie si uwe2 padri mambo yaishe