natafuta mchumba hatimaye mungu akijalia atakuwa mama wa watoto wangu

natafuta mchumba hatimaye mungu akijalia atakuwa mama wa watoto wangu

Umri mdogo sana nafikiri umri huo hawamo wengi sana humu.wala hawatafuti waume. ila vumilia unaweza bahatisha
hii ni possible umri huu wasichana ]wengi bado nipo nipo maana wengi wako vyuoni na mashuleni but anyway ngoja nivumilie
asante kwa ushauri
 
hahaaaaaaaa ni kweli mzee unaweza kosa mke sababu ya ukatoliki nadhani arekebishe hilo!
Ningekuwa mimi kwenye Red ningeweka mkristo tu, hayo mambo ya madhehebu tena unaweza kosa Mke bomba kisa Ukatoliki!!!
 
Mmh! Hujapata 2. Basi huna wito wa familia. inawezekana mungu anahitaji ukam2mikie si uwe2 padri mambo yaishe
 
Back
Top Bottom