natafuta mchumba hatimaye mungu akijalia atakuwa mama wa watoto wangu

natafuta mchumba hatimaye mungu akijalia atakuwa mama wa watoto wangu

Mchumba anayepatikana kwenye kurasa za mitandao atakuwa MALAYA tu!
 
hivi mtu kama mimi mtaniitaje,baba mkristo mama muislamu maana naona vigezo vya ndoa vinanipita juu kwa juu

Wewe tutakuita Shosti na ni Mkristo, labda uwe umeukana ukristo...
 
Wewe tutakuita Shosti na ni Mkristo, labda uwe umeukana ukristo...

mhh hujaelewa nnachokiuliza au,kwani sijijui kuwa naitwa shosti mbona kama umekurupushwa kubaka kuku:spider:
 
Kila la kheri ndg, bila shaka utaoneshwa tu, nafikiri delay inasababishwa na vigezo ila wako wengi wanaohitaji pia.
 
mmh 19 years ? huyo si mtoto bado? subiri kidogo utapata mke mwema. Nina mdogo wangu yupo mwaka wa tatu, miaka 22 sema ni mlutheri.

So hana vigezo unavyotaka.
je yeye yuko tayari kama anaweza unaweza mwambiE aniPM kama ni member kasio naweza give my address zangu umfikishie
asante kwa ushaui mkuu
 
Maganga mkweli jina lako maana yake nini.
bibi yangu mzaa baba halikuwa anapenda kunita hivyo maganga mkweli that why i like the name maganga ni jina la kinyamwezi sina tafsiri sahihi ya jina langu ila i promise ntakujibu.
 
if there serious and commited girl anaweza kuniPM tukaeleweshana walau awe na 80% ya vigezo basi.

Umri mdogo sana nafikiri umri huo hawamo wengi sana humu.wala hawatafuti waume. ila vumilia unaweza bahatisha
 
Back
Top Bottom