Natafuta mchumba humu ndani

KUNDULE

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
318
Reaction score
177
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana mwenye miaka 29 sijawahi kuwa na mchumba wala sijawahi fanya mapenzi natafuta binti awe mpenzi wangu baadae nioe awe na miaka 18-24 kabila lolote Dino yoyote anayejua maadili ya kitanzania. Ambaye yupo tayari ani pm tena itakuwa vizuri na yeye akiwa bikra mana mimi ni bikra.
 
Hahahahaha kumbe bi ki ra wanaume bado wapo.
Hongera sana mkuu.utampata atakaefanana na wewe zidi kumuomba Mungu aiseeh
 
Kwa hiyo katika age hiyo ulikuwa mwanachama wa CHAPUTA maana siamini kama ilipita miaka yote hiyo bila kutoa yale maji ya uzima ukiwa na fahamu.
 
kijana ntaamini vipi mpaka nikukague kwanza binti mzuri wa kukupa ninae masharti ni hayo
 
Mbona mnamkatisha tamaa?,hongera mkuu, humu wamo watajitokeza tu..osihofu.
 
Miaka 29????? Hujawahi kuwa hata na gelo frendi????? Hapa semina elekezi mhm.... Zingatia mkuu la sivyo uishi jirani na zima moto...
 
Utapata taabu sana kupata mtu, kwanini umri huo hujawahi kufanya mapenzi? Huoni kwamba unatisha?
 
Jina hovyo;avatar hovyo;utapata mke kweli we jamaa?
Hauko serious

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Aseeh
cc Miss Natafuta

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…