Natafuta mchumba, location - Songea town.

Natafuta mchumba, location - Songea town.

Wapendwa JF Members;
Natafuta mchumba....Mwanamke/Binti au msichana mwenye sifa Plse...:-
1. Awe na Umri miaka 18....hadi....30.
2. Awe hajawahi kuolewa na kuachika
3. Elimu ....form four ....up to Master degree only if you have PhD we must discuss it in deep before next stage..
4.Sichagui kabila..anyone will be given priority....but must live in Songea ....I am not able to handle distance Love.
5. Dini yeyote ile hata akiwa mlolokole au muislamu...but must live in songea.
6.Urafiki wetu utakuwa only 6 months, then next stage for marriage process....am tired to be single...!
7. Mchaga, Mngoni, Mmatengo, mnyakyusa, Mbena, Mndendeule, Mhehe, Mnyiramba, M-tabora, Muhaya, Msukuma will be given priority.

Du hapo kwenye RED umechemsha na ukimpata katika mji huo wa Songea uniPM nitawahi maana watoto wa hapo ni kuanzia miaka 14 wanaanza kuachika sasa wewe unataka wa miaka 30????????
 
Back
Top Bottom