Natafuta mchumba mgumba au ambae hayuko tayari kuzaa

Natafuta mchumba mgumba au ambae hayuko tayari kuzaa

flamini

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
533
Reaction score
586
Habari

Ni kijana wa miaka 27
Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na mvumilivu.
Kama mtoto tunaweza kuasili kama tukikubaliana.

Sifa zako
Uwe mgumba au uwe tayari tuishi bila kuzaa
Usiwe mnene sana
Uwe unajishughulisha
Rangi yoyote

Maswali mengine njoo DM siwezi kuandika kila kitu.
 
ebwana ata mie natafuta asiyetaka kuzaa kabisa yaani sie ni full kula bata tuu
 
Habari

Ni kijana wa miaka 27
Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na mvumilivu.
Kama mtoto tunaweza kuasili kama tukikubaliana.

Sifa zako
Uwe mgumba au uwe tayari tuishi bila kuzaa
Usiwe mnene sana
Uwe unajishughulisha
Rangi yoyote

Maswali mengine njoo DM siwezi kuandika kila kitu.
mbona hujaitaja jinsia yako
 
Huenda amepata pigo, ama kila mara alikua akimtamani alipoona hapati akaleta visababu vyake
 
Sasa mchumba flamini hapo kwenye kujishughulisha tunamshughulikia nani ikiwa hatuzai,, ukijishughulisha wewe inatosha mimi kazi yangu inabaki kukujaza maupendo tu. Hahahaaaaaa
 
Hiyo ni case tofaufi ndugu. Huyu ana matatizo ya uzazi, huyo anaogopa majukumu, wapo wasiokuwa na mapenzi nawatoto kabisa! Binafi nilijikuta tu kwenye kuburudishana mara mtoto wa kwanza, mara wapili, sasa hivi niko karibu sana na watoto hawa kuzidi ukaribu wao namama yao, amani, faraja na furaha wanayonipa nahisi maisha yangu yangekuwa na upweke sana nisingekuwa nao, wao ni sababu kubwa sana yamimi kuongeza juhudi katika mishughuliko yangu!
 
Kwaio ni matatizo ya kiafya au ndo vile ulivyosema kwamba hutaki kuzaa

Haueleweki
 
Sasa mchumba flamini hapo kwenye kujishughulisha tunamshughulikia nani ikiwa hatuzai,, ukijishughulisha wewe inatosha mimi kazi yangu inabaki kukujaza maupendo tu. Hahahaaaaaa
😍
 
Back
Top Bottom