mbona hujaitaja jinsia yakoHabari
Ni kijana wa miaka 27
Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na mvumilivu.
Kama mtoto tunaweza kuasili kama tukikubaliana.
Sifa zako
Uwe mgumba au uwe tayari tuishi bila kuzaa
Usiwe mnene sana
Uwe unajishughulisha
Rangi yoyote
Maswali mengine njoo DM siwezi kuandika kila kitu.
Huenda amepata pigo, ama kila mara alikua akimtamani alipoona hapati akaleta visababu vyakeKwanini sitaki kupata mtoto
Habari, Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo; Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe. Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20, kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa...www.jamiiforums.com
Kwanini sitaki kupata mtoto

Mh!Umenipata
Sawa mfalme wangu..tukiadopt inatoshaKaribu malkia wangu,hakika mfalme wako nilikua nakusubiri
Eeh jirani
27 yrs. Kukosa mtoto ukate tamaa?Huenda amepata pigo, ama kila mara alikua akimtamani alipoona hapati akaleta visababu vyake
Utampata usijali wakati bado, tupo level moja27 yrs. Kukosa mtoto ukate tamaa?
Mimi Nina 26 natafuta mtoto lakin Bado sijakata tamaa