Natafuta mchumba mgumba au ambae hayuko tayari kuzaa

Shukran kwa kufukua hil kaburi maana nilishaanza kumuonea hurumaa.Kumbe ana act tu hapa
 
Aone watu dadeki
 
Watu wana fukunyua ile mbaya
 
Wewe si ulisema hutaki kuzaa sababu unakwepa majukumu? Mbona wasema tena ni matatizo ya kiafya? Bora uweke wazi shida yako je umewahi kuwa shoga? Je una maambukizi ya hiv? Je una matatizo ya uzazi? Hapo ukiweka wazi utapata ambaye ataridhika na hali yako yeyote, coz love doesn't ask why
 
Mbona huku jitokeza nilipokua nakutafuta,hataivyo hujachelewa
 
Kama utakuwa umezaliwa peke yako kwenu basi itakuwa poa lakini kama kuna wanawake basi uyu mke ajiandae kuwa na moyo wa uvumilivu
 
Huyu jamaa ana shida kubwa sana..Nimeona uzi wake akiponda kuhusu suala la kuwa na mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji33][emoji33] Huyu hawezi kuzalisha au ni Bwabwa... So anatafuta mgumba at least asipate changamoto za kuhusu mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…