Natafuta mchumba mgumba baadae awe mke

Natafuta mchumba mgumba baadae awe mke

Cordy bnei shirk

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
331
Reaction score
252
Habari kama kichwa cha habari kinavojieleza natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo.

Awe muislam na umri usizidi 3O.
Awe mgumba au asiwe na mpango wa kuzaa.
Awe mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kupendeka.
Atleast awe amemaliza hata form 4.
Awe mwenye kuvutia.
Awe mchapakazi

Sifa zangu.
Umri wangu ni 26.
Nimesoma ila nimejiajiri.
Ni mtulivu na muaminifu nileye na mapenzi na huruma.
Situmii kilevi chochote wala sina kampan na walevi.
Kwa sasa naishi kwa wazazi wangu wote mpaka hapo ntakapoa.

Sifa zingine na maswali mengine karibu pm.

Nb.naishi dar es salaam na wala sina mpango wa kuhama itakua vizuri zaidi kama wewe itakua mkazi wa dar es salaam pia.
 
Mh.. Raha ya ndoa ni watoto,, kwann unataka mgumba? Au ww pia huna uwezo wa kuzalisha mkuu?
 
Dah!
Kweli duniani kuna mambo.
Kijana una miaka 26, unaishi kwa wazazi wako, hujaoa lakini unataka kuoa mwanamke mwenye miaka 30, Mgumba!!

Hongera, kila la Kheri.
 
mwanamke chini ya thelathini boss,kuhusu kuishi kwa wazazi ni mambo ya kawaida sababu sina haja ya kupanga wakati nyumba iko na kuhusu mgumba hayo ni mambo personal atakekua tayari atajua kwanini unataka mgumba.
 
Boss usije ukawa unamtaka kwa ajili ya kumfanyia zindiko ahaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom