mwanamke chini ya thelathini boss,kuhusu kuishi kwa wazazi ni mambo ya kawaida sababu sina haja ya kupanga wakati nyumba iko na kuhusu mgumba hayo ni mambo personal atakekua tayari atajua kwanini unataka mgumba.
Acha kukariri sometimes unakua na uwezo na uhuru wa kufanya kila kitu ila unaamua kutofanya kwa sababu huna sababu ya kufanya.sina familia so siwezi kupoteza pesa kupanga wakati naweza nikaishi city center for free..wengi mnapanga kwa ajili ya uzinzi tu

we hilo la uzinz hujakariri? mi nimejenga nikiwa na miaka 22 na nimetoka home nikiwa na miaka 15. huo ufree unaozungumzia ndio unafanya akili yako kuwa free bila kuchanganua hatima yako. kijana una miaka 26 uko kwa wazaz seriously. unapenda vya bure sio. so tangu uwe free hapo umegain nini sasa! au ndio wazo la maana lilokujia kichwan ni kutafuta mwanamke mgumba wewe usie mzinz. hii nchi inatatizo kubwa kuliko la kudai katiba mpya aisee.

Tunawaletea fryer nzuri na imara za gas pamoja na umeme Fryer za gas zina kibiriti chake kwa ndani. Zinapata moto haraka Kila bakuli lina uwezo wa kuchukua lita 6 Bei: Double gas fryer 325,000Tsh Double electric fryer:220,000Tsh Single electric fryer: 130,000Tsh Single gas fryer: 220,000tsh...

bro mi niko kkoo huu ni mwaka 18 nauza viatu na nguo. nimenunua nyumba kkoo mwaka 2005 gerezan. nina wapangaji wa kutosha mkuu. ninachokuambia futa hyo mindset yako ya kiswahli uzione fursa. ndio maana mnalogana watoto wa kiswahli pindi wazazi wenu wakifariki mkigombea urithi. umeshindwa kujua wewe ni nafsi hai na watoto wako watataman kuona baba yao ameacha nini. unakufa unamuacha mtoto nyumba ya familia. then magomvi.

Hivi mzima kweli ww?yaani mtu nina duka naendesha maisha yangu unanipangia maisha kama mtoto,unataka niishi kama wewe kisa nakaa kwetu?kuzaliwa kwenye shida ni laaana unatamani kila ktu aishi kishida shida..nikiwa na miaka 15 nilikua nawaza kucheza PlayStation,kuendesha pikipiki kwa fujo na kusubiria baba asafiri ili nichelewe kurudi home baada ya kwenda slipway..
Poor you kwanza natafuta mdada nashangaa umekuja wewe sijui mgumba ww

Tatizo mkuu umetokea maisha magumu sana,umetafuta pesa kwa nguvu unadhani pesa ndio kila kitu ,sasa umezipata unaanza dharau kujiona mjanja..wengine sisi afadhali hata kama hatukua matajiri ila tulizungukwa,kuishi na matajiri,unaishi na tajiri na hukuona akidharau mtu au kujiona bora.mpaka unakua mkubwa pesa huzioni ndio kila kitu na wala hushindani na mtu wala kujiona bora..Tunazitafuta lakini hatuziabudu.
Jifunze kuheshimu sana machaguo na maamuzi ya mtu kama hayakuathiri wewe.

kwakusaidia kkoo ni uswahilin hapakuwa na tajir mpaka miaka ya 1997 ndio wagen walianza kupageuza. pili ucfikir kila anaetoka bara ametoka kwenye huo umasikin. tumetoka kwenye familia za kati ila utamaduni wetu hauruhusu mtu kuamin katika vya wazaz. kila mtu kwa kipind anachojaliwa kuish ana nafasi ya kuonyesha alama yake. umetoa wazo na ukasema unaish kwa wazaz. watu wamekosoa coz ckawaida. katika dunia hii ucjifanye unajua kila kitu. jifunze kujifunza kila leo. cjui umezaliwa kwenye umasikin cjui nini hii haigeuz ukweli. mi inawezekana nimezaliwa kwenye maeneo wanayoishi maisha ya kat kuliko wewe lakn kwangu sio ishu coz kaz yangu ni kuwa tajir na sio kuwahesabu matajiri. so inaonekana. inaonekana una dirty mind inakuhangaisha sana. kwamba aliyezaliwa kwenye umasikin hawez kukushaur. na huo ndio uswahli wenyewe.
Tatizo mkuu umetokea maisha magumu sana,umetafuta pesa kwa nguvu unadhani pesa ndio kila kitu ,sasa umezipata unaanza dharau kujiona mjanja..wengine sisi afadhali hata kama hatukua matajiri ila tulizungukwa,kuishi na matajiri,unaishi na tajiri na hukuona akidharau mtu au kujiona bora.mpaka unakua mkubwa pesa huzioni ndio kila kitu na wala hushindani na mtu wala kujiona bora..Tunazitafuta lakini hatuziabudu.
Jifunze kuheshimu sana machaguo na maamuzi ya mtu kama hayakuathiri wewe.
Emu acheni mambo yenu basi,kupanga ni kuchagua kila mtu anamaisha yake tusipangiane
Mkuu kuna mdada alianzisha uzi wa kutafta mwanaume mgumba sijui sifa unazo??emu kaupitie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.