Natafuta Mchumba/ mke mtarajiwa

Natafuta Mchumba/ mke mtarajiwa

DSpecial

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
482
Reaction score
160
Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM.
Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam na mwenye kujiheshimu na kujistiri.
Itakuwa vizuri awe mweupe/ maji ya kunde, mrefu kiasi na mnene kiasi na mwenye elimu at least diploma.

Dhumuni kubwa ni kuwa mchumba wangu kwa sasa na hatimaye Mungu akipenda tuje kufunga ndoa na kuishi pamoja
hapo baadae. Kiukweli nimevumilia sana kuwa mwenyewe kwa kipindi chote nilichokuwa nasoma, japokuwa kwa sasa bado naendelea na elimu zaidi ila nahitaji na mimi kuwa na mwenza wangu. Tafadhali kama upo tayari kuwa nami naomba
tuwasiliane.

email yangu: salimathuman78@yahoo.com

Namba ya simu itafuata baada ya kujuana vizuri
 
Utapata tu usichoke kutafuta
 
Wewe sio member wa Uamsho kweli? lkn usihofu utampata mchumba tuu.
 
Wewe sio member wa Uamsho kweli? lkn usihofu utampata mchumba tuu.

Ndugu yangu mimi kiasili ni mtu wa Tanga, naomba usinihusishe na vikundi vya siasa. unaweza kuniambia sababu zinazokufanya unihusishe na mambo ya uamsho mkuu?
 
Back
Top Bottom