Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,305
mi waniweke kamati ya vinywaji!
mhh na ivi mdomo wako upo waz 24 7 itakuwaje sasa?
apana
wewe unafaa reception ..kuwachangamkia wagen kuwachekea..:love::love:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi waniweke kamati ya vinywaji!
WEWE katav ukome kumshushia hadhi MTARAJIWA/BABAWATOTO/DIRECTOR NA MUPENZ WANGU...stak kabsa..nan kakwambia ajui pm ninin?wakat kachange ID TU LEO lakin ni mkongwe wa jf usipime
nimempenda ivo ivo mwenyewe mkome tena mkomae kutuvunja moyo...:love::love:
katav niulizie bas vp sasa majibu?au hayupo tena kasepa?
Enhee, mmefikia wapi kwenye pm zenu, weka japo pm moja tuone mlivyokuwa mnawekeana sheria na kanuni za penzi lenu!WEWE katav ukome kumshushia hadhi MTARAJIWA/BABAWATOTO/DIRECTOR NA MUPENZ WANGU...stak kabsa..nan kakwambia ajui pm ninin?wakat kachange ID TU LEO lakin ni mkongwe wa jf usipime
nimempenda ivo ivo mwenyewe mkome tena mkomae kutuvunja moyo...:love::love:
katav niulizie bas vp sasa majibu?au hayupo tena kasepa?
Hongera sana kaka nadhani huyo atakufaa zaidi!!Maneno yako yamenifariji sana mpendwa, kwa kuwa mungu ni mwema kwa kila mtu hapa duniani, basi ndoto yangu ya muda mrefu itatimia.
Mungu akubariki sana mpendwa!
Tehe tehe teheeeh!! Hata huko kutanifaa.....mhh jaman kamat ya wagen na ayo masikio?
apana
labda uende kwa fund seremala akachonge masikio ayo na msumeno yakikaa sawa apo sawa lasivyo utakuwa kamat ya usaf utakuwa choon kuangalia usaf wa choo:love::love:
Hongera sana kaka nadhani huyo atakufaa zaidi!!
Enhee, mmefikia wapi kwenye pm zenu, weka japo pm moja tuone mlivyokuwa mnawekeana sheria na kanuni za penzi lenu!
Huo mzigo kwanini usikinikabidhi mimi nikitimba leo magetoni kwako halafu nikija nikute na kile kitu kitu Malkia Elizabeth alichotia sahihi yakewe r seriouz
habari yake dig dig banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:love:mis u boy....itakuwaje kwan ukidondoka kigeto pale jion ukitoka mzgon?mwambie bgrta nina mzgo wake jaman asinifanyie ivo akiniuz zaid ntaenda kuuweka kwenye tukutuku yake ohhh m tayad
Sio umbea bibie...umbea tu umekujaanyoooooooooooooo!!!!!!!
Ahahahaaah!! Mi sio mchawi..ahh nkupe updates ili uniroge?
stak mie
Asante..ok then umepata
Karibu sana JF...na nakutakia kila la heri, usimsahau Mungu kwenye utafutaji wako!
Sio umbea bibie...
Ahahahaaah!! Mi sio mchawi..
Asante..
Habari za siku tele Madame KH...Mbona umeadimika hivyo? Unapatikana mitaa ipi? hahahahahaha LOL! BAK mzima kabisa. Ubarikwe sana. Kila la heri mtafutaji hata hapa wapo wanawake wa maana sana ambao wanastahili kabisa kupata mwenzi wao.
BAK...habari zangu ni njema kabisa. Ni kweli nimeadimika...ni majukumu tu kwa kweli. Mimi napatikana nyumbani...karibu sana unitembelee.
Ubarikiwe na wewe BAK