Grealish10
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 104
- 294
Tafuta mke mtaani kwako broHabari wana jamii najitokeza humu kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia.
Wasifu .miaka 33
Dini - mkristo kkkt
Elimu - kidato cha sita
Kazi - jobless
Makazi - dar es salaam
Mimi ni mrefu + mweusi kidogo.
Wasifu wa mke nimtakaye
Elimu - kuanzia kidato cha nne
Dini - yoyote
Watoto mwisho wa 2.
Karibuni ---
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanipangia maisha yangu mzee, we mzima kweli?Tafuta mke mtaani kwako bro
Mfanyie mpango huyo amuoe, alafu ukapashe moto kipolo..Nikuunganishe na dada mmoja niliyemzalisha ila sijamuoa.