Natafuta Mchumba [mke]

Natafuta Mchumba [mke]

Status
Not open for further replies.

Grealish10

Senior Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
104
Reaction score
294
Habari wana jamii najitokeza humu kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia.
Wasifu .miaka 33
Dini - mkristo kkkt
Elimu - kidato cha sita
Kazi - jobless
Makazi - dar es salaam
Mimi ni mrefu + mweusi kidogo.

Wasifu wa mke nimtakaye
Elimu - kuanzia kidato cha nne
Dini - yoyote
Watoto mwisho wa 2.
Karibuni ---

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuunganishe na dada mmoja niliyemzalisha ila sijamuoa.
 
Habari wana jamii najitokeza humu kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia.
Wasifu .miaka 33
Dini - mkristo kkkt
Elimu - kidato cha sita
Kazi - jobless
Makazi - dar es salaam
Mimi ni mrefu + mweusi kidogo.

Wasifu wa mke nimtakaye
Elimu - kuanzia kidato cha nne
Dini - yoyote
Watoto mwisho wa 2.
Karibuni ---

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta mke mtaani kwako bro
 
Kkkt kijitonyama na Magomeni Mviringo pale hutokosa,hata kama husali pale we ndenda kila Jumapili
 
Huu ndo ukweli wa mambo
IMG_20200407_214704_875.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajamii.

Najitokeza humu kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia.

Wasifu miaka 33
Dini - Mkristo KKT
Elimu - Kidato cha Sita
Kazi - Jobless
Makazi - Dar es Salaam
Mimi ni mrefu + mweusi kidogo.

Wasifu wa mke nimtakaye
Elimu - Kuanzia Kidato cha Nne
Dini - Yoyote
Watoto mwisho wa 2.

Karibuni ---
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom