Mimi ni kijana wa kiume, 29yrs mkazi wa DSM. Natafuta rafiki wa kike/mchumba umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja.
Aliye tayari anicheki inbox. Itapendeza kama atakuwa Dar au mkoa jirani. Awe anajiweza kidogo kiuchumi (awe na kazi maalumu inayomuingizia kipato) lakini pia kama hana sio mbaya sana.
Asante na karibuni DM