Natafuta Mchumba (MKE)

Natafuta Mchumba (MKE)

Osanji

Member
Joined
Oct 11, 2014
Posts
5
Reaction score
4
Mimi ni kijana wa kiume, 29yrs mkazi wa DSM. Natafuta rafiki wa kike/mchumba umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja.

Aliye tayari anicheki inbox. Itapendeza kama atakuwa Dar au mkoa jirani. Awe anajiweza kidogo kiuchumi (awe na kazi maalumu inayomuingizia kipato) lakini pia kama hana sio mbaya sana.

Asante na karibuni DM
 
Asee wakijaa huko PM wengine mkuje huku namm vigezo hivyo hivyo kingn
Nnapenda game ndefu ndefu xo wale wa dak 5 ushanambia shuka hapo usije
 
Back
Top Bottom