Natafuta mchumba(mke)

Natafuta mchumba(mke)

IBRAAH

Senior Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
161
Reaction score
47
wana jf nipo seliosly natafuta mcumba wa kuoa na kuanzisha maisha na mimi
sifa zang:mnene kiasi kabila muhehe.umri wang ni miak25
sifa za anae tafutw:
mweupe kiasi si wakujichubua.mwembamba kiasi umri miaka18~22 kabila lolote ispokuwa mrangi na mnyaturu.awe wa maeneo ya Iringa,dodoma,mbeya,na dar ili iwe rahis mi nayeye kuonana mara kwa mara.
alie tayar ani pm na anitafute kupitia0786093134
 
ubaguzi huu sijui utaisha lini, haya napita tu ubarikiwe.
 
Wanyaturu wana nn mkuu!! Fafanua basi hata kidogo.
 
hapana madameX sio ubaguz walinitenda hao

Kwahiyo kila kabila likkikutenda inaweka blacklist, sio hivyo maisha. Kila kabila lina black sheep, wewe omba mungu tu.
 
Back
Top Bottom