Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)

Datot

Member
Joined
Nov 23, 2022
Posts
16
Reaction score
12
Sifa zake:
1. Awe na hofu ya Mungu.
2. Awe tayari kupima HIV.
3. Asiwe mfupi, Rangi yeyote ile, maana mimi mwenyewe ni mrefu
4. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita, hata chuo kikuu.
5. Ajue kupika, aisiyependa uchafu na awe anajua kupika kila aina ya chakula kuanzia maandazi n.k.
6. Umri kuanzia miaka 25 hadi 30, maana mimi nina miaka 34.

Amabaye yuko na uhitaji anitafute PM, niko na uhitaji, namaanisha.
1. Mimi ninaishi mikoa ya nyanda za juu Kusini,(Iringa Mbeya, Songea) ndiyo ninapofanyia kazi (nina bachelor degree.).
2. Nina mtoto mmoja (1).
 
My zangu,
Darlin Depal Lenie Amehlo Joanah
Ni kweli hamjui kupika maandazi au hamjaona fursa???
My wetu kupika maandazi ni jambo jepesi sana

Nisaidie kumuuliza mleta mada kama mama wa mtoto wake mmoja yupo hai ama ameshatangulia(kama wao wanavyoulizaga singo maza)

Nikipata jibu nitajua kama niende piemu ama nisubiri bandiko lingine
 
 
Huyu hapa mkuu

Thread 'Natafuta mchumba (Mume) wakuanza naye familia pamoja' Natafuta mchumba (Mume) wakuanza naye familia pamoja
 
Holaa, umiss umeshanikosesha hii nafasi
 
To yeye ninakusalimia to binti yangu na uje huku
 
My wetu kupika maandazi ni jambo jepesi sana

Nisaidie kumuuliza mleta mada kama mama wa mtoto wake mmoja yupo hai ama ameshatangulia(kama wao wanavyoulizaga singo maza)

Nikipata jibu nitajua kama niende piemu ama nisubiri bandiko lingine
Wewe ni comedian Zelensky afaa kuja kujifunza kwako😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…